# Maeleza ya jumla Yahwe anazungumza kwa Waisraeli juu ya Ninawi. # Wananguvu ... watanyolewa... zao watu wa Ninawi # hata hivyo watanyolewa "Watakatwa." Yahwe anatumia picha ya kukata sufu kwenye kondoo kuonyesha njinsi atakavyo liharibu jeshi la Ninawi , hata kama wapo wengi.TN: " wataharibiwa " # nitaivunja ile nira ya watu kutoka kwako TN: "nitakuweka huru kutoka ktika utumwa mwa watu hao" # nitaikata minyororo yako "kata minyororo ambayo waliwafunga kama watumwa"