sw_tn/mrk/13/24.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# jua litatiwa giza
Hii inaweza kuwa kati hali tendaji. "jua litatiwa giza"
# mwezi hautatoa mwanga wake
Hapa mwezi umeongelewa kama ulikuwa hai na waweza kutoa kitu chochote kwa mtu fulani. "mwezi hautato mwanga" au "mwezi utatiwa giza"
# nyota zitaangika kutoka angani
Hii haimanishi kwamba zitaanguka chini lakini ni kwamba zitaanguka kutoka pale zilipo kwa sasa.
# nguvu zilizoko mbinguni zitatikisika
Hii inaweza kuwa kati hali tendaji. "Mungu ataitingisha nguvu zilizoko mbinguni"
# nguvu
Hili ni jina la maelezo juuya sayari na linaweza kuwa pamoja na nyote.
# mawinguni
"mawinguni"
# Kisha watamuona
"Kisha watu watamuona"
# kwa nguvu kubwa na utukufu
"nguvu na utukufu"
# atawakusanya
Neno "ata" urejea kwa Mungu na kirai kwa malaika wake, kama wao watakao kusanya wateule. "watawakusanya" au "malaika wake watawakusanya"
# pande kuu nne
Ulimwengu wote umesemwa kuwa kama "pande kuu nne" ambazo zinarejea kwa pande nne: kaskazini, kusini, mashariki, na magharibi.
# kutoka mwisho wa dunia mpaka mwisho wa mbingu.
Huku kulikokithiri kumetolewa msisitizo kwamba wateule watakusanywa kutoka ulimwengu wote. "kutoka kila eneo ulimwenguni"