forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
867 B
Markdown
24 lines
867 B
Markdown
|
# chukizo la uharibifu
|
||
|
|
||
|
Haya maneno yanatoka kitabu cha Daniel. Wasikilizaji wake wangekuwa na uelewa wa aya na unabii uhusuo chukizo kuingia katika hekalu kulinajisi. "mambo ya aibu yanayo najisi vitu vya Mungu.
|
||
|
|
||
|
# limesimama pale lisipotakiwa kusimama
|
||
|
|
||
|
Wasikilizaji wa Yesu wangekuwa wamejua kuwa hii inarejea kwa hekalu. Hii inaweza kufanywa kwa usahihi. "kusimama katika hekalu pale lisipotakiwa"
|
||
|
|
||
|
# asomaye na afahamu)
|
||
|
|
||
|
Si Yesu anazungumza. Mathayo aliongeza kwa hii kupata umakini wa wasomaji, ili waweze kusikiliza onyo hili. "ikiwezekana kila mmoja asomaye awe makini kwa onyo hili"
|
||
|
|
||
|
# aliyeko juu ya nyumba
|
||
|
|
||
|
Juu ya nyumba ambapo Yesu aliishi ilikuwa tambarare, na watu wangeweza kusimama juu yake.
|
||
|
|
||
|
# asirudi
|
||
|
|
||
|
Hii urejea kwa kurudi nyumbani kwake. Hii inaweza kufanywa kwa usahihi. "hakuna kurudi nyumbani mwake"
|
||
|
|
||
|
# kuchukua vazi lake
|
||
|
|
||
|
"kuchukua vazi lake"
|