# chukizo la uharibifu Haya maneno yanatoka kitabu cha Daniel. Wasikilizaji wake wangekuwa na uelewa wa aya na unabii uhusuo chukizo kuingia katika hekalu kulinajisi. "mambo ya aibu yanayo najisi vitu vya Mungu. # limesimama pale lisipotakiwa kusimama Wasikilizaji wa Yesu wangekuwa wamejua kuwa hii inarejea kwa hekalu. Hii inaweza kufanywa kwa usahihi. "kusimama katika hekalu pale lisipotakiwa" # asomaye na afahamu) Si Yesu anazungumza. Mathayo aliongeza kwa hii kupata umakini wa wasomaji, ili waweze kusikiliza onyo hili. "ikiwezekana kila mmoja asomaye awe makini kwa onyo hili" # aliyeko juu ya nyumba Juu ya nyumba ambapo Yesu aliishi ilikuwa tambarare, na watu wangeweza kusimama juu yake. # asirudi Hii urejea kwa kurudi nyumbani kwake. Hii inaweza kufanywa kwa usahihi. "hakuna kurudi nyumbani mwake" # kuchukua vazi lake "kuchukua vazi lake"