forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1019 B
Markdown
32 lines
1019 B
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Mwandishi anamuuliza Yesu swali la akili, ambalo Yesu analijibu.
|
||
|
|
||
|
# Alimuuliza
|
||
|
|
||
|
"Mwandishi alimuuliza Yesu"
|
||
|
|
||
|
# iliyo ya muhimu zaidi katika zote..iliyo ya muhimu ni hii
|
||
|
|
||
|
Taarifa inayokosekana inaweza kuongozwa. "amri iliyo ya muhimu zaidi katika zote...amri iliyo ya muhimu anasema"
|
||
|
|
||
|
# Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu, Bwana ni mmoja.
|
||
|
|
||
|
"Sikiliza, Israeli! Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja"
|
||
|
|
||
|
# kwa moyo wako yote, kwa roho yako yote
|
||
|
|
||
|
"Moyo" na "roho" ni mifano ya utu wa ndani na tamaa zake na hisia. "kwa chote unachotaka na kujisikia"
|
||
|
|
||
|
# kwa akili yako yote, na kwa nguvu zako zote
|
||
|
|
||
|
"akili" urejea kwa namna mtu anavyofikiri na "nguvu" urejea kwa nguvu za mtu kufanya mambo. "kwa yote unayofikiri, na kwa yote unayofanya"
|
||
|
|
||
|
# umpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe
|
||
|
|
||
|
Yesu anatumia mfanano kulinganisha namna watu wanavyopaswa kupendana wao kwa wao kwa upendo ule ule kama wanavyojipenda wenyewe"
|
||
|
|
||
|
# zaidi ya hizi
|
||
|
|
||
|
Hapa neno "hizi" urejea kwa amri mbili ambazo Yesu alikuwa amewambia watu.
|