sw_tn/mrk/09/26.md

32 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alilia kwa nguvu
"Roho mchafu alilia kwa nguvu"
# Mvulana alionekana kama aliyekuwa amekufa
Mvulana alionekana kufa" au Mvulana kama amekufa."
# kumhangaisha mtoto
"kumtetemesha kijana"
# alimtoka
Inaweza kuwa msaada kuongeza maelezo yaliyokosekana. "alitoka nje mwa kijana"
# Mtoto alionekana kama amekufa
Muonekano wa kijana unalinganishwa na mtu aliyekufa.
# ndipo wengi
"ndipo watu wengi"
# alimchukua kwa mkono
Hii inamaanisha kuwa Yesu alimshika mkono mvulana kwa mkono wake.
# mwinue juu
"alimsaidia kumwinua juu"