# Alilia kwa nguvu "Roho mchafu alilia kwa nguvu" # Mvulana alionekana kama aliyekuwa amekufa Mvulana alionekana kufa" au Mvulana kama amekufa." # kumhangaisha mtoto "kumtetemesha kijana" # alimtoka Inaweza kuwa msaada kuongeza maelezo yaliyokosekana. "alitoka nje mwa kijana" # Mtoto alionekana kama amekufa Muonekano wa kijana unalinganishwa na mtu aliyekufa. # ndipo wengi "ndipo watu wengi" # alimchukua kwa mkono Hii inamaanisha kuwa Yesu alimshika mkono mvulana kwa mkono wake. # mwinue juu "alimsaidia kumwinua juu"