sw_tn/mrk/08/11.md

44 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Huko Dalmanuta, Yesu anakataa kuwapa Mafarisayo ishara kabla ya yeye na wanafunzi hawajaingia katika mashua na kuondoka.
# Walitafuta toka kwake
"Walimuuliza"
# kutoka mbinguni
Hapa "mbinguni" urejea kwa eneo ambapo Mungu anaishi, na ni maneno badala ya Mungu. "kutoka kwa Mungu"
# kumjaribu yeye
Mafarisayo walimjaribu Yesu kumfanya yeye awathibitishie kuwa anatoka kwa Mungu. Baadhi ya taarifa zinaweza kuwekwa sahihi. "kuhakikisha kuwa Mungu alimtuma yeye"
# hema
Hii inamaanisha kuvuta ndani na kisha kupumua.
# katika roho wake
"katika yeye"
# Kwa nini kizazi hiki kinatafuta ishara?
Yesu anawakaripia. Swali hili linaweza kuandikwa kama sentensi. "Kizazi hiki hakipaswi kutafuta ishara"
# kizazi hiki
Wakati ambapo Yesu anazungumza juu ya "kizazi hiki", anarejea kwa watu walio ishi wakati huo. Mafarisayo hawa wanajumuishwa katika kundi hili. "wewe na watu wa kizazi hiki"
# hakuna ishara itakayotolewa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendi. "Sitatoa ishara"
# aliwaacha, akaingia ndani ya mtumbwi tena
Wanafunzi wa Yesu walienda naye. Baadhi ya taarifa zinaweza kuwekwa sahihi. "aliwaacha, akaingia ndani ya mtumbwi pamoja na wanafunzi wake"
# upande ule mwingine
Hii huelezea bahari ya Galilaya, ambayo inaweza kusemwa kwa ufasaha. "kwa upande mwingine wa bahari"