sw_tn/mrk/07/06.md

16 lines
448 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya ujumla
Hapa Yesu ananukuu kwa nabii Isaya, ambaye aliandika maandiko miaka mingi kabla.
# kwa midomo yao
Hapa "midomo" ni kirai cha kuzungumza. "kwa kile wanachosema"
# lakini mioyo yao iko mbali nami
Hapa "moyo" urejea kwa mawazo ya watu au hisia. Hii ni njia kusema kuwa watu hawajitoa kwa Mungu. "lakini hawanipendi kabisa"
# Wananifanyia ibaada zisizo na maana
"Wananifanyia ibada zisizo na maana" au wananiabudu kwa utupu"