sw_tn/mrk/06/53.md

20 lines
456 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Wakati Yesu na wanafunzi wake wanafika Genesareti wakiwa katika mtumbwi wao, watu wanamuona na kumletea watu awaponye. Hii inatokea kokote waendako.
# Genesareti
Hili ni jina la mkoa kaskazi mwa magharibi mwa Bahari ya Galilaya.
# mara wakamtambua
"watu pale walimtambua Yesu"
# walikimbia...waliposikia
Neno "wa" urejea kwa watu waliomtambua Yesu, wala si kwa wanafunzi.
# wagonjwa
Neno hili urejea kwa watu. "watu wagonjwa"