sw_tn/mrk/06/16.md

32 lines
950 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya ujumla
Katika mstari wa 17 mwandishi anaanza na kutoa maelezo ya nyuma kuhusu Herode na kwanini alimkata kichwa Yohana Mbatizaji.
# yupi alimkata kichwa
Hapa Herode anatumia neno "Ni" ikirejea kwake mwenyewe. Neno "Ni" mbadala linalotumika kwa maaskari wa Herode. "ambao niliamuru maaskari wangu kumkata kichwa."
# amefufuliwa
Hiii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "amekuwa hai tena"
# Herode aliagiza Yohana akamatwe na alimfunga gerezani
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Herode alituma maaskari wake kumshika Yohana na kumfunga gerezani"
# kutumwa kumshika
"amri ya kumshika"
# kwa ajili ya Herode
"kwa sababu ya Herode"
# ndugu wa mke wa Filipi
"mke wa ndugu yake Filipo." Ndugu wa Herode ambaye ni Filipo siyo sawa na Filipi ambaye alikuwa mwinjilisti katika kitabu cha Matendo ya mitume aur Filipi aliyekuwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu.
# kwa sababu alikuwa amemuoa
"kwa sababu Herode alikuwa amemuoa"