# Maelezo ya ujumla Katika mstari wa 17 mwandishi anaanza na kutoa maelezo ya nyuma kuhusu Herode na kwanini alimkata kichwa Yohana Mbatizaji. # yupi alimkata kichwa Hapa Herode anatumia neno "Ni" ikirejea kwake mwenyewe. Neno "Ni" mbadala linalotumika kwa maaskari wa Herode. "ambao niliamuru maaskari wangu kumkata kichwa." # amefufuliwa Hiii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "amekuwa hai tena" # Herode aliagiza Yohana akamatwe na alimfunga gerezani Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Herode alituma maaskari wake kumshika Yohana na kumfunga gerezani" # kutumwa kumshika "amri ya kumshika" # kwa ajili ya Herode "kwa sababu ya Herode" # ndugu wa mke wa Filipi "mke wa ndugu yake Filipo." Ndugu wa Herode ambaye ni Filipo siyo sawa na Filipi ambaye alikuwa mwinjilisti katika kitabu cha Matendo ya mitume aur Filipi aliyekuwa mmoja wa wanafunzi wa Yesu. # kwa sababu alikuwa amemuoa "kwa sababu Herode alikuwa amemuoa"