sw_tn/mrk/04/30.md

12 lines
476 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tuufananishe ufalme wa Mungu na kitu gani, au tutumie mfano gani kuuelezea?
Yesu aliuliza swali hili kusababisha wasikilizaji wake kufikiri kuhusu ufalme wa Mungu. "Pamoja na mfano huu naweza kueleza ufalme wa Mungu ukoje"
# pindi inapopandwa
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "wakati yoyote anapanda mbegu" au "wakati yoyote anapanda mmea"
# inafanya matawi makubwa
Mti wa haradali unaelezwa kama unasababisha matawi kukua makubwa. "pamoja na matawi makubwa"