sw_tn/mrk/04/26.md

32 lines
847 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu basi anawambia watu mfano kueleza ufalme wa Mungu, ambapo kwa badae anawaeleza wanafunzi wake.
# kama mtu aliyepanda mbegu
Yesu hufanananisha ufalme wa Mungu kwa mkulima anayepanda mbegu. "kama mkulima anayepanda mbegu"
# Alipolala usiku na kuamka asubuhi
"Anamka asubuhi na kulala usiku"
# jani
shina au kuchipuka
# sikio
kichwa katika shina au sehemu ya mmea inashika tunda
# mara hupeleka mundu
Hapa "mundu" ni maneno mbadala yanayosimama kwa mkulima au watu wanaotumwa na mkulima kwenda kuvuna nafaka. "mara huenda na mundu kuvuna nafaka" au "mara hutuma watu na mundu kuvuna nafaka"
# mundu
ni upanga uliojikunja au ndoano iliyo na makali inatumiwa kuvunia nafaka
# sababu mavuno ni tayari
Hapa maneno "ni tayari" ni lugha kwa ajili ya nafaka iliyo tayari kuvunwa. "sababu nafaka iko tayari kuvunwa"