sw_tn/mrk/01/38.md

12 lines
369 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Hapa maneno "yeye" na "mimi" urejea kwa Yesu.
# Twendeni mahali pengine
"Tunapaswa kwenda mahali pengine." Hapa Yesu anatumia neno "sisi" kurejea kwake, akiwemo Simoni, Andrea, Yakobo, na Yohana.
# Alienda akipitia Galilaya yote
Neno "kupitia" linaelezea Yesu alikwenda maeneo mengi wakati wa huduma yake. "Alikwenda maeneo mengi ya Galilaya."