sw_tn/mrk/01/32.md

12 lines
425 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hapa maneno "yeye" na "yeye" urejea kwa Yesu.
# wote waliokuwa wagonjwa au kupagawa na mapepo
Hapa neno "wote" ni maelezo zaidi na linatumiwa kusisitiza idadi kubwa ya watu waliokuja. "wengi waliokuwa wagonjwa au kupagawa na mapepo."
# Mji wote walikusanyika pamoja katika mlango
Neno "wote" linaelezea namba ya watu waliokuwa wakimtafuta Yesu. "Watu wengi kutoka mjini walikusanyika nje ya mlango"