# Sentensi unganishi Hapa maneno "yeye" na "yeye" urejea kwa Yesu. # wote waliokuwa wagonjwa au kupagawa na mapepo Hapa neno "wote" ni maelezo zaidi na linatumiwa kusisitiza idadi kubwa ya watu waliokuja. "wengi waliokuwa wagonjwa au kupagawa na mapepo." # Mji wote walikusanyika pamoja katika mlango Neno "wote" linaelezea namba ya watu waliokuwa wakimtafuta Yesu. "Watu wengi kutoka mjini walikusanyika nje ya mlango"