sw_tn/mrk/01/09.md

20 lines
731 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wewe ni mwanangu mpendwa
Baba, Mwana, na Roho wote wanajidhihirisha pamoja, kwa wakati mmoja.
# alibatizwa na Yohana
Hii inaweza kutajwa katika hali tendaji. AT: " Yohana alimbatiza yeye"
# Roho anamshukia kama njiwa
Maana zinazoweza kuwa sahihi ni: 1)huu ni mfanano, na Roho alimshukia Yesu kama ndege anavyoshuka toka mbinguni kuelekea ardhi au 2) Roho kiuhalisia alionekana kama njiwa alivyoshuka juu ya Yesu.
# sauti ilisikika toka mbinguni
Hii inawakilisha Mungu anazungumza. Wakati mwingine watu hukwepa kurejea moja kwa moja kwa Mungu kwa sababu wana mheshimu yeye. AT: "Mungu alizungumza toka mbinguni."
# mwana mpendwa
Ni neno la cheo kwa Yesu. Baba anamwita Yesu "mwana" kwa sababu ya upendo wa milele kwake.