sw_tn/mic/07/18.md

8 lines
239 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nani aliye Mungu kama wewe
Mika anatumia swali kusisitiza kwamba hakuna mwingine afanyaye mambo ambayo Yahwe ayafanyayo.
# mabaki ya mrithi wako
"wale walio wakwetu watu wako waliochaguliwa ambao walioponea chupuchupu adhabu yako"