# Ni nani aliye Mungu kama wewe Mika anatumia swali kusisitiza kwamba hakuna mwingine afanyaye mambo ambayo Yahwe ayafanyayo. # mabaki ya mrithi wako "wale walio wakwetu watu wako waliochaguliwa ambao walioponea chupuchupu adhabu yako"