sw_tn/mic/06/16.md

20 lines
452 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Kanuni zilizotengenezwa na Omri zimetunzwa
"Mmefanya kile ambacho Omri alichoamuru"
# Omri...Ahabu
Hawa watu wote walikuwa wafalme juu ufalme wa kaskazini mwa Israeli. Mungu aliwahesabu wote kuwa waovu sana.
# Mnatembea kwa ushauri wao
"mmefanya mambo maovu ambayo Omri na Ahabu waliwaambia watu kufanya.
# jambo la kuzomea
Hicho ni, kitu cha kudhihaki kwa kuzomea kwacho.