# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Kanuni zilizotengenezwa na Omri zimetunzwa "Mmefanya kile ambacho Omri alichoamuru" # Omri...Ahabu Hawa watu wote walikuwa wafalme juu ufalme wa kaskazini mwa Israeli. Mungu aliwahesabu wote kuwa waovu sana. # Mnatembea kwa ushauri wao "mmefanya mambo maovu ambayo Omri na Ahabu waliwaambia watu kufanya. # jambo la kuzomea Hicho ni, kitu cha kudhihaki kwa kuzomea kwacho.