sw_tn/mat/28/05.md

24 lines
667 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wale wanawake
"Mariamu Magadalena na yule Mariamu mwingine"
# aliyesulibiwa
"yule ambaye watu na maaskari walimsulibisha" au "yula ambaye walimsulibisha"
# amefufuka toka wafu
kirai cha "toka wafu" kinamaanisha eneo ambalo roho za wale waliokufa huenda. 'Lakini amefufuka"
# mkawaambie wanfunzi wake, 'amefufuka toka wafu. Tazama amewatangulia Galilaya ambako mtamkuta"
waambieni wanafunzi wake kuwa amefufuka wafu na kwamba Yesu amewatangulia kwenda Galilaya ambako mtamwona"
# amewatangulia ... mtamwona
kiwakilishi cha "mta" ni cha wingi. kinamaanisha wale wanawake na wanafunzi
# nimewaambia
kiwakilishi "wa" ni cha wingi. kinamaanisha wale wanawake