# wale wanawake "Mariamu Magadalena na yule Mariamu mwingine" # aliyesulibiwa "yule ambaye watu na maaskari walimsulibisha" au "yula ambaye walimsulibisha" # amefufuka toka wafu kirai cha "toka wafu" kinamaanisha eneo ambalo roho za wale waliokufa huenda. 'Lakini amefufuka" # mkawaambie wanfunzi wake, 'amefufuka toka wafu. Tazama amewatangulia Galilaya ambako mtamkuta" waambieni wanafunzi wake kuwa amefufuka wafu na kwamba Yesu amewatangulia kwenda Galilaya ambako mtamwona" # amewatangulia ... mtamwona kiwakilishi cha "mta" ni cha wingi. kinamaanisha wale wanawake na wanafunzi # nimewaambia kiwakilishi "wa" ni cha wingi. kinamaanisha wale wanawake