sw_tn/mat/28/03.md

16 lines
352 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sura yake
"Sura ya malaika"
# ilikuwa kama ya umeme
"ilikuwa inang'aa kama ya umeme"
# mavazi yake yalikuwameupe kama theluji
"mavazi yake yalikuwa meupe sana kama theluji"
# na kuwa kama wafu
Huu ni msemo unaomaanisha kuwa wale maaskari walianguka chini na hawakuweza hata kutikisika. "na walianguka chini na kulala pale kama watu waliokufa"