sw_tn/mat/27/59.md

16 lines
291 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sufi safi
Nguo laini ya thamani
# aliliokuwa amelichonga mwambani
Inamaanisha kuwa Yusufu aliajiri watu ambao waliochonga hilo akaburi
# akavingirisha jiwe kubwa
Yawekana Yusufu alikuwa na watu wengine pale waliomsaidia kulivingirisha lile jiwe
# kuelekea kaburi
"karibu na kaburi"