# sufi safi Nguo laini ya thamani # aliliokuwa amelichonga mwambani Inamaanisha kuwa Yusufu aliajiri watu ambao waliochonga hilo akaburi # akavingirisha jiwe kubwa Yawekana Yusufu alikuwa na watu wengine pale waliomsaidia kulivingirisha lile jiwe # kuelekea kaburi "karibu na kaburi"