sw_tn/mat/27/38.md

16 lines
370 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wanyang'anyi wawili walisulibishwa pamoja naye
Maskari walimsulibishaYesu pamoja na wanyanga'nyi wawili
# wakitikisa vichwa vyao
walifanya hivi kumcheka Yesu
# Kama nia mwana wa Mungu shuka chini
Kama wewe ni mwana wa Mungu thibitisha kwa "kushuka msalabani"
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo cha muhimu amabcho kinaonesha uhusiano kati ya Kristo na Mwanawa Mungu