# wanyang'anyi wawili walisulibishwa pamoja naye Maskari walimsulibishaYesu pamoja na wanyanga'nyi wawili # wakitikisa vichwa vyao walifanya hivi kumcheka Yesu # Kama nia mwana wa Mungu shuka chini Kama wewe ni mwana wa Mungu thibitisha kwa "kushuka msalabani" # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo cha muhimu amabcho kinaonesha uhusiano kati ya Kristo na Mwanawa Mungu