sw_tn/mat/27/01.md

16 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha kujariwa kwa Yesu mbele ya Pilato
# Muda wa asubuhi
neno linamaanisha kuazisha habari mpyakataika simulizi. Matahyo anaanza kueleza habari mpya katika sehemu hii
# walikula njama dhidi ya Yesu wapate kumuua
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wakipanga jinsi ya kuwashawishi viongozi wa Rumi jinsi ya kumuua Yesu
# walimwongoza
"walimkabidhi" au "walimpeleka"