# Sentensi unganishi Hii inaanzisha kujariwa kwa Yesu mbele ya Pilato # Muda wa asubuhi neno linamaanisha kuazisha habari mpyakataika simulizi. Matahyo anaanza kueleza habari mpya katika sehemu hii # walikula njama dhidi ya Yesu wapate kumuua Viongozi wa Wayahudi walikuwa wakipanga jinsi ya kuwashawishi viongozi wa Rumi jinsi ya kumuua Yesu # walimwongoza "walimkabidhi" au "walimpeleka"