sw_tn/mat/26/57.md

16 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya majaribu ya Yesu kwenye baraza la viongozi wa dini ya Wayahudi
# Petro alimfuata
"Petro alimfuata Yesu
# Ukumbi wa Kuhani Mkuu.
Sehemu ya uwazi karibu na nyumba ya Kuhani Mkuu.
# Aliingia ndani
"Petro aliingia ndani"