# Sentensi unganishi Hii inaanzisha habari ya majaribu ya Yesu kwenye baraza la viongozi wa dini ya Wayahudi # Petro alimfuata "Petro alimfuata Yesu # Ukumbi wa Kuhani Mkuu. Sehemu ya uwazi karibu na nyumba ya Kuhani Mkuu. # Aliingia ndani "Petro aliingia ndani"