sw_tn/mat/25/37.md

32 lines
548 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wenye haki
watu wenye haki
# au kiu ... au uchi
"au ni lini tulipokuwa ukiwa na kiuau nilini tulipokuona u uchi"
# Mfalme.
Hiki ni cheo kingine cha Mwana wa Mungu
# na kuwaambia
"Akasema na wale walio mkono wa kulia."
# Kweli nawaambia
"Nawaambia ukweli, "Huu ni msisitizo wa kile ambacho Yesu alikuja kusema baadaye"
# kwa mmoja wa ndugu zangu wadogo
"mmoja wa wasio wa muhimu"
# Ndugu zangu
"kaka zangu na dada" au "hawa ambao ni kama kaka zangu na dada zangu
# mlinitendea mimi
"Ninajali kwamba mlifanya hivyo kwa ajili yangu."