sw_tn/mat/25/28.md

40 lines
644 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kueleza mfano wa watumishi na talanta
# mnyang'anyeni hiyo talanta
Bwana anawaambia wale watumishi wengine
# talanta
Tazama 25:14
# aliye na
"anayetumia vizuri alicho nacho"
# ataongezewa zaidi
"Mungu atampa zaidi"
# hata kwa kuzidishiwa
"hata zaidi"
# kwa yeyote asiye na kitu
"Kwa yeyeote asiyetumia vizuri hicho alicho nacho.
# Ambapo kutakuwa na kilio na kusaga meno
"Mahali ambapo watu watalia na kusaga meno yao."
# "nacho atanyang'anywa"
nitakiondoa
# mtupeni nje gizani huyo mtumishi asiyefaa, ambako kutakuwa na kilion a kusaga meno
"nje gizani ambako kuna kilio na kusaga meno"