sw_tn/mat/25/10.md

37 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi ungsnishi
Yesu anahitimisha mfano wa wanawali kumi
# wakati wameenda huko
"Wanawali wapumbavu waliondoka."
# kununua
"kununua mafuta zaidi"
# Wale ambao walikuwa tayari.
Wanawali waliokuwa na mafuta ya ziada.
# Mlango ulifungwa.
"watumishi walifunga mlango."
# Tufungulie.
"Fungua mlango kwa ajili yetu ili tuingie ndani"
# kweli nawaambia
"Nawaambia ukweli" Hiiinatia msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# "Siwatambui ninyi."
2021-09-10 19:21:44 +00:00
"Si watambui ninyi ni akina nani" au
2018-04-12 01:01:04 +00:00
'si wajui ninyi ni akina nani."
# kwa kuwa hamjui siku wala saa
"Hamjui muda halisi ambao Mwana wa Adamu atakuja"