sw_tn/mat/25/05.md

16 lines
295 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sasa
Neno linaloonesha kuanzisha habari mpya. Yesu anaanza kueleza sehemu ya habari hii.
# bwana harusi amechelewa
"wakati bwana harusi alipochukua muda mrefu kuwasili"
# Wote walianza kusinzia.
Wanawali wote kumi walianza kusinzia.
# kulikuwa na yowe
"mtu mmoja alianza kupiga kelele"