# Sasa Neno linaloonesha kuanzisha habari mpya. Yesu anaanza kueleza sehemu ya habari hii. # bwana harusi amechelewa "wakati bwana harusi alipochukua muda mrefu kuwasili" # Wote walianza kusinzia. Wanawali wote kumi walianza kusinzia. # kulikuwa na yowe "mtu mmoja alianza kupiga kelele"