forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
547 B
Markdown
12 lines
547 B
Markdown
|
# kitu gani kitakuwa dalili ya kuja kwako na mwisho wa ulimwengu
|
||
|
|
||
|
Neno "kuja kwako" linamaanisha wakati Yesu atakapokuja katika nguvu, kuanzisha utawala wa Mungu duniani na kukifikisha kizazi hiki mwisho wake.
|
||
|
|
||
|
# Mwe waangalifu asije mtu akawapotosha.
|
||
|
|
||
|
"Mwe waangalifu kwamba msiamini yeyote ambaye atawaongopea kuhusu mambo haya."
|
||
|
|
||
|
# wengi watakuja kwa jina langu
|
||
|
|
||
|
Neno "jina" linamaanisha "katika mamlaka" au " kama mwakilishi" wa mwingine. "Wengi watadai kuwa wamekuja kama wawakilishi wangu" au "wengi watasema kuwa wanaongea kwa niaba yangu"
|