sw_tn/mat/23/13.md

36 lines
723 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kuwakemea viongozi wa dini kwa sababu ya unafiki wao
# Lakini ole wenu
tazama 11:20
# Mnawaffungia watuufalme wa mbinguni
"Mnawazuia watu kumpokea Mungu wetu wa mbinguni kuwa mfalme wao"
# Hamwezi kuingia
"Hamumruhusu Mungu kuwa mfalme wenu"
# na hamuwaruhusu wanaoingiakufanya hivyo
"wala hamuwarusu wale wanaotaka kumpokea Mungu kuwa mfalme wao kufanya hivyo"
# mnavuka ng'ambo ya bahari
"mnasafiri umbali mrefu"
# kumfanya mtu mmoja aamini
"kumfanya mtu mmoja aamini dini yenu"
# mwana wa jehanamu
"Mtu ambaye mahali pake ni kuzimu." au mtu ambaye hanabudi kwenda kuzimu."
# mnawameza wajane wajane.
"Kuiba kila kitu kutoka kwa wanawake wasio na wanaume wa kuwalinda."