sw_tn/mat/21/20.md

24 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Imekuwaje mtini umenyauka mara moja?
Wanafunzi wanatumia swali kuonesha mshangao wao. "Tumeduwaa kuona kuwa ule mtiini umenyauka haraka!"
# kweli nawaambieni.
"Nawaambia ukweli." Kirai hiki kinaonggeza msisitizo wa kile Yesu anachosema baadaye.
# kama mkiwa na imani na bila wasiwasi
kama mtaamini kwa ukweli
# kunyauka
"kukauka na kufa"
# mtauambia hata huo mlima, 'uchukuliwe na kutupwa baharini;
mtaweza kuumbia mlima huu kuondoka na kutupwa baharini"
# itafanyika
itatokea