# Imekuwaje mtini umenyauka mara moja? Wanafunzi wanatumia swali kuonesha mshangao wao. "Tumeduwaa kuona kuwa ule mtiini umenyauka haraka!" # kweli nawaambieni. "Nawaambia ukweli." Kirai hiki kinaonggeza msisitizo wa kile Yesu anachosema baadaye. # kama mkiwa na imani na bila wasiwasi kama mtaamini kwa ukweli # kunyauka "kukauka na kufa" # mtauambia hata huo mlima, 'uchukuliwe na kutupwa baharini; mtaweza kuumbia mlima huu kuondoka na kutupwa baharini" # itafanyika itatokea