sw_tn/mat/21/12.md

48 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya Yesu alipoingia Hekaluni
# Maelezo kwa ujumla
Katika msari wa 13, Yesu anamnukuu nabii Isaya kuwakememea wachuuzina wabadilishaji wa fedha.
# Yesu akaingia hekaluni
Yesu hakuliingia lile hekalu halisi. Aliingia kwenye lile korido la hekalu
# waliokuwa wakinunua na kuuza
Wachhuzi waliokuwa wakiuza wanyama na bidhaa ziingine ambavyo wasafiri walinunua ili wapate sadaka halisi ya kutoa hekeluni.
# Akawaambia
"Yesu aliwaambia wale waliokuwa wanabadilisha fedha na kununua na kuuza vitu"
# Imeandkikwa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "Nabii aliandika zamani za kale" au "Mungu alishasema tangu zamani
# Nyunba yangu itaitwa
"Nyumba yangu itaitwa"
# Nyumba yangu
Kiwakilishi "yangu" kinamaanisha Mungu "Nyumba" inamaanisha hekalu
# nyumba ya maombi
"mahali ambapo watu wataomba
# Pango la wanyang'anyi
Yesu anatumia sitiari kuwakemea watu wanouza na kununua bidhaa hekaluni. "Kama mahali ambapo wanyang'nyi hujificha"
# vipofu na vilema
wale waliokuwa vipofu na vilema"
# mlemavu
kuwa na mguu ulioumia ambao unaosababisha kutembea kwa tabu"