sw_tn/mat/20/32.md

16 lines
313 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Aliwaita
Aliwaita vipofu
# je! mnatamani?
"je! mnataka"
# kwamba macho yetu yafumbuliwe
Kirai cha "macho yetu yafumbuliwe" ni nahau inayomaanisha kuweza kuona tena. "tunataka utufanye kuona" au "tunataka uwezo wa kuona"
# akiwa amevutwa na huruma
"kuwa na hurma" au "kusukumwa na huruma kwa ajili yao"