# Aliwaita Aliwaita vipofu # je! mnatamani? "je! mnataka" # kwamba macho yetu yafumbuliwe Kirai cha "macho yetu yafumbuliwe" ni nahau inayomaanisha kuweza kuona tena. "tunataka utufanye kuona" au "tunataka uwezo wa kuona" # akiwa amevutwa na huruma "kuwa na hurma" au "kusukumwa na huruma kwa ajili yao"