sw_tn/mat/20/25.md

52 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anamalizia kufundisha juu ya mamlaka na kuwatumikia wengine
# aliwaita
"aliwaita wale thenashara"
# watawala wa wa mataifa huwatiisha,
watawala wa mataifa hulazimisha watu wa mataifa kufanya kile watawala wanataka.
# watawala wa mataifa
"watawala wa watu wa mataifa"
# huwatiisha
"huwatawalawatu"
# yeyote atakayetaka
"yeyote atakaye" au "yeyote atamaniye"
# kuwa wa kwanza
"kuwa wa muhimu"
# Mwana wa Adamu ... maisha yake
Yesu anaonge juu yake mwenyewe kwa kutumia nafsi ya tatu. kama inawezekana unaweza kuitafsiri hii katika nafsi ya kwanza.
# hakuja kutumikiwa
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Hakuja ili kwamba watu wengine wamtumikie" au "sikuja ili kwamba watu wengine wanitumikie"
# bali kutumika
"bali kuwatumikia watu wengiine"
# na kutoa uhai wake
Hii ni nahau. "kufa"
# kuwa ukombozi kwa wengi
Neno "ukombozi" htumika kwa maana ya kuwafanya wengine kuwa huru kutoka gerezani au utumwani. Hii ni sitiari ya Yesu kuwaokoa watu kutoka kwenye hukumu ya adhbu ya Mungu kwa ajili y a dhanbi zao
# kwa wengi
"kwa ajili ya watu wengi"