# Sentensi unganishi Yesu anamalizia kufundisha juu ya mamlaka na kuwatumikia wengine # aliwaita "aliwaita wale thenashara" # watawala wa wa mataifa huwatiisha, watawala wa mataifa hulazimisha watu wa mataifa kufanya kile watawala wanataka. # watawala wa mataifa "watawala wa watu wa mataifa" # huwatiisha "huwatawalawatu" # yeyote atakayetaka "yeyote atakaye" au "yeyote atamaniye" # kuwa wa kwanza "kuwa wa muhimu" # Mwana wa Adamu ... maisha yake Yesu anaonge juu yake mwenyewe kwa kutumia nafsi ya tatu. kama inawezekana unaweza kuitafsiri hii katika nafsi ya kwanza. # hakuja kutumikiwa Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Hakuja ili kwamba watu wengine wamtumikie" au "sikuja ili kwamba watu wengine wanitumikie" # bali kutumika "bali kuwatumikia watu wengiine" # na kutoa uhai wake Hii ni nahau. "kufa" # kuwa ukombozi kwa wengi Neno "ukombozi" htumika kwa maana ya kuwafanya wengine kuwa huru kutoka gerezani au utumwani. Hii ni sitiari ya Yesu kuwaokoa watu kutoka kwenye hukumu ya adhbu ya Mungu kwa ajili y a dhanbi zao # kwa wengi "kwa ajili ya watu wengi"