sw_tn/mat/19/28.md

24 lines
736 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kweli nawaambia
msisistizo wa kile kinachofuatia
# kaika uzao mpya
"wakatimpya" inamaanisha wakatiMungu akirudisha kila ktu" au "wakati ule ambao Mungu atafanya kila kitu kuwa kipya.
# Mwana wa Adamu
Yesuanaonge juuyake mwenyewe
# atakapoketikatika kiti cha enzi
Kukaa katika enzi kunamaanisha kutawala kama mfalme. enzi yake kuwa tukufu minawakilisha "utawala wake kuwa wa utukufu" au "kutawala kwa utukufu kama mfalme"
# mtaketi juu ya viti kumi na viwili vya enzi
Hapa "enzi" inamaanisha kutawala kama mfalme. Wanafunzi hawatakuwa sawa na Yesu ambaye pia yuko kwenye enzi.. Watapokeamamlaka kutoka kwake."kukaa kama kwenye enzi 12"
# makabila kumi na mawili ya Israel
Hapa "makabila" inamaanisha wtu kutoka kabila hizo