# kweli nawaambia msisistizo wa kile kinachofuatia # kaika uzao mpya "wakatimpya" inamaanisha wakatiMungu akirudisha kila ktu" au "wakati ule ambao Mungu atafanya kila kitu kuwa kipya. # Mwana wa Adamu Yesuanaonge juuyake mwenyewe # atakapoketikatika kiti cha enzi Kukaa katika enzi kunamaanisha kutawala kama mfalme. enzi yake kuwa tukufu minawakilisha "utawala wake kuwa wa utukufu" au "kutawala kwa utukufu kama mfalme" # mtaketi juu ya viti kumi na viwili vya enzi Hapa "enzi" inamaanisha kutawala kama mfalme. Wanafunzi hawatakuwa sawa na Yesu ambaye pia yuko kwenye enzi.. Watapokeamamlaka kutoka kwake."kukaa kama kwenye enzi 12" # makabila kumi na mawili ya Israel Hapa "makabila" inamaanisha wtu kutoka kabila hizo