sw_tn/mat/17/24.md

32 lines
641 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anamfundisha Petro juu ya kulipa ada ya hekalu
# wakati wao
wakati yesu na wanafunzi wake
# kodi ya nusu shekeli
kodi juu ya wanaume wote wa kiyahudi ambayo ilitolewa ili kuwezesha kazi za hekaluni
# nyumba
mahali Yesu alipokaa
# Unafifkiri nini Simoni? wafalme wa dunia ...kutoka kwa wageni?
Yesu anauliza swali hili kumfundisha Simoni asitafute taarifa kutoka kwake. "Sikiliza Simoni, tunafahamu kuwawafalme wa dunia hukusanya kodi kutoka kwa wageni na wala si kwa raia wake.
# wafalme wa dunia
viongozi kwa ujumla
# Raia
watu chini ya kiongozi au mfalme
# wanaotawaliwa
watu walio chini ya mfalme